MUNGU AKUPE NEEMA ILI UPIGANE VITA VIZURI VYA IMANI

karibu Tumwombe Mungu kwa pamoja
Naam,na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu,katika imani yenu tieni na wema,na katika wema maarifa,na katika maarifa wenu kiasi,na katika kiasi chenu saburi,na katika saburi yenu mtauwa,2petro5-6
MUNGU AKUPE NEEMA ILI UPIGANE VITA VIZURI VYA IMANI MUNGU AKUPE NEEMA ILI UPIGANE VITA VIZURI VYA IMANI Reviewed by safina radio on July 25, 2017 Rating: 5

No comments