WATU 36 WAFARIKI KATIKA AJALI NCHINI PERU.
TAREHE 03-01-2018

Watu wasiopungua 36 wamefariki baada ya basi walimokuwa wanasafiria
kutumbukia kwenye korongo Kaskazini mwa mji mkuu wa Peru Lima.
Ripoti za vyombo vya habari vya ndani zinasema basi hilo liligongwa na lori
wakati likipita kwenye eneo finyu la barabara kuu ya mji huo.
Barabara hiyo iliyopo katika mji wa Pasamyo, hughubikwa na ukungu mara kwa
mara na kumetokea ajali mbalimbali nyingine,ambapo maafisa wamesema juhudi za
uokozi zilizuwiwa na ukosefu wa barabara ya moja kwa moja kwenda ufukweni.
WATU 36 WAFARIKI KATIKA AJALI NCHINI PERU.
Reviewed by safina radio
on
January 03, 2018
Rating:
No comments