WATU 37 WAFARIKI KATIKA MAFURIKO NCHINI DRC CONGO.

TAREHE 05-01-2017


Baadhi ya nyumba ziliporomoka na nyingine kufukiwa kwenye matope
Image caption
Maafisa wa serikali  ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema watu zaidi ya 37 wamefariki baada ya mafuriko kuukumba mji mkuu wa wa nchi hiyo Kinshasa,  kufuatia mvua kubwa.
Waziri wa jimbo anayeangazia masuala ya kiafya na kijamii Dominique Weloli  amesema wengi wa waliofariki ni wakazi wa mitaa ya mabanda ambapo nyumba nyingi zimeharibiwa na maji ya mafuriko na maporomo ya ardhi.
 Kati ya wakazi milioni kumi wa mji wa Kinshasa huishi katika makazi duni katika maeneo tambarare na yenye miundo mbinu duni  ya kuondoa maji taka .


Hata hivyo kumekuwa na matukio ya vifo vinavyotokana na mafuriko karibu kila mwaka wakati wa msimu wa mvua kubwa nchini humo.

WATU 37 WAFARIKI KATIKA MAFURIKO NCHINI DRC CONGO. WATU 37 WAFARIKI KATIKA MAFURIKO NCHINI DRC CONGO. Reviewed by safina radio on January 05, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.