WATU 7 WAFARIKI NCHINI ETHIOPIA
TAREHE 22-01-2018
Watu saba wamekufa huko Ethiopia kaskazini baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi kwenye mkusanyiko wa watu waliohudhuria tamasha la kidini siku ya jumamosi.
Watu saba wamekufa huko Ethiopia kaskazini baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi kwenye mkusanyiko wa watu waliohudhuria tamasha la kidini siku ya jumamosi.
Vifo hivyo katika mji wa Waldiya
vimesababisha maandamano ya siku mbili yaliyosababisha uharibu wa nyumba,
magari na barabara kufungwa .
Mashuhuda wanasema ghasia hizo zilianza siku ya jumamosi pale waumini hao walipoanza
kuimba nyimbo za kuipinga serikali na ndipo vikosi vya serikali vilianza
kuwafyatulia risasi na kusababisha majeraha na vifo.
Waandamanaji wenye
hasira walianza kuchoma magari,nyumba na biashara za wale wanaodhaniwa kuunga
mkono serikali,ambapo waandamanaji kadhaa wanashikiliwa na Polisi.
WATU 7 WAFARIKI NCHINI ETHIOPIA
Reviewed by safina radio
on
January 22, 2018
Rating:
No comments