IMEBAINIKA KUWA KUTUMIA NENO LA MUNGU KISAWASAWA INAWEZA KUONDOA UMASIKINI
Imebainika kuwa neno la Mungu
linapotumiwa sawasawa umasikini, magonjwa pamoja na nguvu za giza havitaweza
kumsumbua mwanadamu.
Huduma ya redio safina kesho katika
ukumbi wa maombi uliopo mbauda jijini
Arusha kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa saba mchana imeakuandalia maombi
maalum kwa ajili kurejesha uponyaji kwa watu wote.
Aidha maombi ya kesho ni maalum kwa
ajili kurejesha uponyaji kwenye Nyanja mbalimbali za maisha ikiwemo ndoa, afya,
elimu, biashara, kilimo, ufugaji pamoja na kudhibiti roho inayosababisha mauti,
umasikini na madeni.
Pia somo hilo limelenga kuifahamisha
jamii kuwa neno la Mungu likitumiwa sawasawa linaweza kuondoa matatizo sugu
yaliyoshindikana katika shughuli mbalimbali kiroho na kimwili.
IMEBAINIKA KUWA KUTUMIA NENO LA MUNGU KISAWASAWA INAWEZA KUONDOA UMASIKINI
Reviewed by safina radio
on
May 16, 2018
Rating:
No comments