WATU 28 WAMEUAWA KWENYE MAJIMBO TOFAUTI TOFAUTI NCHINI AFGHANISTAN.
Watu 28 wameuawa kwenye majimbo
tofau tofauti nchini Afghanistan kutokana na mashambulio yaliyofanywa na kundi
la Taliban.
Katika mji wa Kandahar kusini mwa
nchi hiyo watu 16 waliuawa baada ya kushambuliwa na mabomu na wengine wengi
kujeruhiwa.
Wakati huo huo katika jimbo la
Mashariki la Gasni maafisa wa usalama wapatao 12 waliuawa.
Taarifa zaidi za shirika la habari
la Pajhwok zinasema mashambulizi hayo yanafanywa na kundi la Taliban ili
kuonyesha bado lina uwezo.
WATU 28 WAMEUAWA KWENYE MAJIMBO TOFAUTI TOFAUTI NCHINI AFGHANISTAN.
Reviewed by safina radio
on
May 23, 2018
Rating:
No comments