MAANDAMANO ZAIDI YANATARAJIWA HUKO PALESTINA

Mapambano hayo ya
jana yalitokea wakati Marekani na Israel zikisheherekea ufunguzi wa ubalozi
mpya wa Marekani katika mji unaogombaniwa wa Jerusalem.
Hatua ya kuuhamisha
ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem imewakasirisha
Wapalestina, wanaotegemea eneo hilo kuja kuwa mji mkuu wa taifa lao la baadae.
Rais wa Marekani
Donald Trump ameieleza siku hiyo kama siku bora kwa taifa la Israel.
MAANDAMANO ZAIDI YANATARAJIWA HUKO PALESTINA
Reviewed by safina radio
on
May 15, 2018
Rating:
No comments