AJAX YATIMUA BENCHI LAKE LA UFUNDI.

TAREHE 22-12-2017.
sportsHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image caption
klabu ya Ajax Amsterdam ya nchini Uholanzi imetimua benchi lake lote la ufundi kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo katika michezo ya ligi ya Uholanzi na ulaya .
Waliotimuliwa ni kocha mkuu Marcel Keizer na msaidizi wake Dennis Bergkamp na pamoja na kocha wa Hennie Spijkerman.
Meneja mkuu Edwin Van De Sar na mkurugenzi wa kiufundi Marc Overmars pia wameondoka katika sehemu ya uongozi kwa sababu ya matokeo mabaya
Mlinzi wa zamani wa kimataifa wa uholanzi Michael Reiziger, na Winston Bogarde wamepewa mikoba ya kuingoza Ajax kwa muda.
Huku makocha wakubwa kwenye soka la Uholanzi kama Ronald Koeman na Frank De Boer wakitajwa kuwa katika mpango wa muda mrefu.
AJAX YATIMUA BENCHI LAKE LA UFUNDI. AJAX YATIMUA BENCHI LAKE LA UFUNDI. Reviewed by safina radio on December 22, 2017 Rating: 5

No comments