PUTIN KUWANIA TENA URAIS NCHINI URUSI

TAREHE 07-12-2017


Rais Vladimir Putin wa Urusi ametangaza nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi Machi mwaka ujao.

 Putin mwenye umri wa miaka 65 ametangaza kusudio lake hilo katika sherehe zilizohudhuriwa na wafanyakazi wa kiwanda cha magari cha Nizhny Novgorod na kusema Urusi itatatua kila tatizo na kuwa itapiga hatua ikiwa chini ya uongozi wake.


Hata hivyo rais Putin anapewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huo wa mwakani.
PUTIN KUWANIA TENA URAIS NCHINI URUSI PUTIN KUWANIA TENA URAIS NCHINI URUSI Reviewed by safina radio on December 07, 2017 Rating: 5

No comments