LEWIS HAMILTON ASHINDA MICHUANO YA SINGAPORE GRAND PRIX
![]() |
LEWIS HAMILTON Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel. |
Licha ya kushinda,Hamilton
anataja michuano ya mwaka huu kuwa na upinzani mkali.
Hamilton, ambaye alianza
mzunguko wa tano kwa kusuasua aliongoza baada ya Vettel kugongana na dereva
mwenzake wa Ferrari Kimi Raikkonen.
Zilikuwa ni mbio za aina yake, alisema
Hamilton , Hamilton ameshinda kwa alama 28.
LEWIS HAMILTON ASHINDA MICHUANO YA SINGAPORE GRAND PRIX
Reviewed by safina radio
on
September 18, 2017
Rating:

No comments