MICHUANO YA EUROPA LIGI KUENDELEA USIKU WA LEO

TAREHE 28-09-2017
Arsenal wageni wa BATE BorisovHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionArsenal wageni wa BATE Borisov
Michuano ya Uefa Europa League inatarajiwa kuchezwa hii Leo kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya Makundi, miongoni mwa michezo ambayo inatazamiwa kuchezwa BATE Borisov wanacheza na Arsenal, Salzburg dhidi ya Marseille, Zenit wanawakaribisha Sociedad, Everton ni wenyeji wa Apollon, Locomotiv watakuwa ni wenyeji wa Fastav, Maccabi Tella Viv wanawaalika Vilareal , Lyon inamenyana na Atalanta .
Arsene WengerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionArsene Wenger
FC Astana ni wenyeji wa Slavia Prague, Partizan Beograd wanawaalika Dynamo Kyiv, Skenderbeu ni wenyeji wa Young Boys, FC Cologne watamenyana na FK Crvena Zvezda, AC Milan ni wenyeji wa Rijeka.
MICHUANO YA EUROPA LIGI KUENDELEA USIKU WA LEO MICHUANO  YA  EUROPA  LIGI KUENDELEA USIKU  WA LEO Reviewed by safina radio on September 28, 2017 Rating: 5

No comments