LIGI YA MABINGWA ULAYA IMEANZA KUTIMUA VUMBI USIKU WA KUAMKIA LEO AMBAPO BARCELONA IMEICHAPA JUVENTUS MAGOLI 3-0
![]() |
MSHAMBULIIAJI WA BARCELONA LIONEL MESSI KATIKA |
Messi alifunga bao la kwanza baada ya kupa
ni kupe na mshambuliaji Luis Suarez.
Ivan Rakitic aliifungia Barcelona bao la
pili baada ya shambulio la Messi kuokolewa katika laini ya goli.
Mshambuliaji huyo wa Argentina baadaye
alihakikisha kuwa timu yake inachukua ushindi dhidi ya Juventus walioshiriki katika
fainali ya kombe hilo mwaka uliopita baada ya kufunga bao zuri kwa kutumia mguu
wake wa kushoto kwa umbali wa maguu 20.
Akicheza mbele ya mabeki wa Juve, Messi
aliwachenga mabeki waliokuwa wakimkaba kabla ya kumwacha kipa wa miaka mingi
Gianluigi Buffon bila jibu.
LIGI YA MABINGWA ULAYA IMEANZA KUTIMUA VUMBI USIKU WA KUAMKIA LEO AMBAPO BARCELONA IMEICHAPA JUVENTUS MAGOLI 3-0
Reviewed by safina radio
on
September 13, 2017
Rating:

No comments