WABUNGE WA UGANDA WAMEPIGANA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE
katika kikao hicho kilichoongozwa na Spika wa bunge, Bi.Rebecca Kadaga wabunge walirushiana viti, na kuharibu vipaza sauti.
Ugomvi huo ulianza pale Spika alipochukua hatua ya kuwafukuza wabunge wapatao 25 wengi wao wakiwa ni wa upinzani kwa madai ya utovu wa nidhamu pamoja na waziri wa serikali aliyeshtakiwa kwa kufyatua risasi bungeni siku ya jumanne.
Wabunge hao wanadai kuwa kama kikomo cha umri wa miaka 75 kitaondolewa basi rais aliyepo madarakani kwa sasa atapata mwanya wa kugombea tena mwaka 2021.
WABUNGE WA UGANDA WAMEPIGANA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE
Reviewed by safina radio
on
September 28, 2017
Rating:

No comments