MKE WA WAZIRI MKUU WA PAKISTAN ALIYEONDOLEWA MADARAKANI NAWAZI SHARIF,ASHINDA KUWANIA UBUNGE
TAREHE 18-09-2017
![]() |
KULSOOM NAWAZ |
Matokeo yasiyo rasmi
yanaonesha kuwa Kulsoom Nawaz amemshinda mpinzani wake, kwa kura chache.
Kura hizo zinaonesha kama ni
jaribio la kumuunga mkono kiongozi wa chama cha Pakistan Muslim League Nawaz
Sharif, wakati katika kukikaribia uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Waziri mkuu huyo wa zamani
alienguliwa madarakani na mahakama kuu nchini humo mwezi Julai,kufuatia tuhuma
za rushwa.
Hata hivyo mshindi wa kiti hicho
Kulsoom Nawaz kwa sasa yuko mjini London kupata matibabu ya ugonjwa wa
saratani.
MKE WA WAZIRI MKUU WA PAKISTAN ALIYEONDOLEWA MADARAKANI NAWAZI SHARIF,ASHINDA KUWANIA UBUNGE
Reviewed by safina radio
on
September 18, 2017
Rating:

No comments