Wanafunzi Laki Tisa Kumi Na Saba Elfu Wameanza Mitihani Yao Ya Kumaliza Elimu Ya Msingi Nchini Tanzania.



Jumla ya wanafunzi laki tisa kumi na saba elfu na tisini, leo wameanza mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba mwaka huu kutoka shule  zipatazo elfu kumi na sita mia tano na themanini na tisa hapa nchini.
Amesema kuwa mitihani hiyo itaanza leo na itakamilika siku ya kesho kwa wanafunzi kutoka Tanzania bara na maandalizi yote yameshakamilika,ambapo pia ametumia nafasi hiyo kuwataka baadhi ya watendaji wanaofanya ubabaishaji wa kuwalipa wasimamizi wa mitihani posho zao  kuacha tabia hiyo mara moja na atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria.










Wanafunzi Laki Tisa Kumi Na Saba Elfu Wameanza Mitihani Yao Ya Kumaliza Elimu Ya Msingi Nchini Tanzania. Wanafunzi Laki Tisa Kumi Na Saba Elfu Wameanza Mitihani Yao Ya Kumaliza Elimu Ya Msingi Nchini Tanzania. Reviewed by safina radio on September 06, 2017 Rating: 5

No comments