Waziri mkuu wa Lesotho Tom ThabaneAmeelezea Mauaji Ya Mkuu Wa Kikosi Cha Jeshi


Waziri mkuu wa Lesotho Tom Thabane
Waziri Mkuu Wa Lesotho Tom Thabane Ameelezea Mauaji Ya Mkuu Wa Kikosi Cha Jeshi Nchini Humo Khoantle Mots'omots'o Yaliyofanywa Na Maafisa Wa Jeshi Kama Kitendo Cha Kurudisha Nyuma Juhudi Za Kutafuta Amani Nchini Humo.
Bw  Thabane Amesema Upelelezi Unaendelea Juu Ya Tukio Hilo Lililotokea Katika Mji Mkuu Maseru Siku Ya Jumanne.
Mashuhuda Wanasema, Watu Wawili Waliovalia Sare Za Jeshi Waliingia Katika Ofisi Ya Mots'omots'o Na Kisha Kumfyatulia Risasi Kabla Ya Wao Kuuawa Na Walinzi Wa Kiongozi Huyo.
Hata Hivyo Lesotho Ipo Katika Hali Ya Taharuki, Ikiwa Na Historia Ya Mapinduzi Ya Kijeshi Ya Mara Kwa Mara.

 

Waziri mkuu wa Lesotho Tom ThabaneAmeelezea Mauaji Ya Mkuu Wa Kikosi Cha Jeshi Waziri mkuu wa Lesotho Tom  ThabaneAmeelezea Mauaji Ya Mkuu Wa Kikosi Cha Jeshi Reviewed by safina radio on September 06, 2017 Rating: 5

No comments