VIKOSI VYA UTURUKI VYAENDELEA NA OPERESHE NI NCHINI SYRIA

13-102017
Vikosi vya majeshi ya Uturuki vimepiga hatua katika operesheni ya kijeshi nchini Syria kutokomeza wapiganaji wa jimbo la Idlib.
Operesheni hiyo imeanza siku ya jumamosi ambapo majeshi ya Uturuki yakisaidiana na yale ya Syrian walifanikiwa kuvuka mpaka.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema hatavumilia vitendo vyovyote vya kigaidi katika eneo lake.

Mgari ya Uturuki yameonekana yakisindikizwa na makundi ya wapiganaji wanaoungwa mkono na Al Qaeda katika jimbo la Idlib,huku kundi la Tahrir al-Sham likimili maeneo karibu na kambi ya majeshi ya Kikrud ambayo yanapigana dhidi ya IS.
VIKOSI VYA UTURUKI VYAENDELEA NA OPERESHE NI NCHINI SYRIA VIKOSI   VYA    UTURUKI   VYAENDELEA   NA   OPERESHE NI  NCHINI  SYRIA Reviewed by safina radio on October 13, 2017 Rating: 5

No comments