ZAIDI YA WATU 50 WAMEUAWA NCHINI MAREKANI
TAREHE 02-10-2017
Mtu mwenye bunduki mwenye umri wa maiaka 64 Stephen Paddock alifyatua risasi kutoka
ghoroga ya 32 kwenye hoteli ya Mandalay Bay, wakati tamasha likiendelea nje.
Polisi wanasema mshukiwa
ambaye alitajwa kuwa mkaazi wa mji huo na ambaye hakutajwa jina ameuawa.
Mamia ya watu
walikimbia eneo hilo na milio ya risasi ikasikika kwa muda kwenye video
zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii.
Ufyatuaji huo ulitokea
mwendo wa saa 05:30 usiku na
walioshuhudia walisema kuwa mamia ya risasi zilifyatuliwa.
Usafiri wa ndege
ulisitishwa kutoka uwanja wa ndege wa Mc Carran mjini Las Vegas.
ZAIDI YA WATU 50 WAMEUAWA NCHINI MAREKANI
Reviewed by safina radio
on
October 02, 2017
Rating:

No comments