Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa nchini IGP Simon Siro amevitaka vyombo vya dola nchini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi haswa kwa wafugaji ili kujilinda na uwizi wa mifugo.


TANGA.

Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa nchini  IGP Simon Siro amevitaka vyombo vya dola nchini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi haswa kwa wafugaji ili kujilinda na uwizi wa mifugo.



Mkuu huyo wa Polisi ameyasema hayo akiwa katika wa ziara ya siku moja katika Wilaya ya Handeni na Korogwe Mkoani Tanga
Aidha, IGP Siro amesema  kuwa katika ziara yake hiyo wilaya za Handeni na Korogwe amebaini kuwepo kwa wizi wa mifugo kwa makundi hivyo suala hilo linaenda na utoaji wa elimu ili wafugaji wajue namna ya kujilinda.

Pia, vyombo vya dola wanatakiwa kuwa imara kwa kuwakamata wezi wa mifugo hiyo.









Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa nchini IGP Simon Siro amevitaka vyombo vya dola nchini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi haswa kwa wafugaji ili kujilinda na uwizi wa mifugo. Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa nchini  IGP Simon Siro amevitaka vyombo vya dola nchini kuendelea kutoa elimu kwa wananchi haswa kwa wafugaji ili kujilinda na uwizi wa mifugo. Reviewed by safina radio on February 22, 2018 Rating: 5

No comments