CHOI SOON SIL, AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KASHFA ZA RUSHWA.
SEOUL
Taarifa ya Habari saa 08:00 usiku, 13 February, 2018.
Choi Soon Sil alipewa adhabu hiyo na mahakama ya wilaya mjini Seoul,
baada ya kukutwa na hatia ya rushwa, na kutumia madaraka kuwatisha watu.
Shirika la habari la Yonhap limesema kuwa kwa kutumia urafiki wake
na Park Guen Hye na makampuni makubwa ya biashara kama Samsung, kukusanya
michango kwa ajili ya wakfu aliouanzisha.
Mbali na kifungo gerezani, Choi pia ameamuliwa na Mahakama kulipa
faini ya dola milioni 17, na alikuwa tayari amepewa adhabu ya kifungo cha miaka
mitatu, kwa kushawishi upendeleo kwa ajili ya binti yake.
CHOI SOON SIL, AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KASHFA ZA RUSHWA.
Reviewed by safina radio
on
February 13, 2018
Rating:

No comments