Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea.



PAPUA.

Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea.

maporomoko ya ardhi Papua New Guinea.


Kwa mujibu wa Julie Sakol, muuguzi katika hospitali kuu ya Mendi ambako maiti zimehifadhiwa Majengo mawili yalianguka na maporomoko ya ardhi kuwaua watu 12 kwenye mji wa Mendi, na mji mkuu wa nyanda za kusini nchini humo.

Tetemeko hilo lenye ukubwa wa kiwango cha 7.5 Retcher liliupiga mkoa huo mapema siku ya jumatatu na kuharibu migodi na miundombinu ya umeme na kusababisha kampuni ya Exxon Mobil kufunga kiwanda chake cha kuzalisha gesi asilia.

Hata hivyo Matetemeko mengine madogo yalifuatia baada ya tetemeko kubwa la siku ya jumatatu nchini humo.

Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea. Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5

No comments