RUGISA AMEAGIZA TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI HAPA NCHINI TAWIRA PAMOJA NA MAMLAKA YA NGORONGORO KUSIMAIA TAALUMA YAO YA KUHIFADHI MAZINGIRA ILI KULINDA UOTO WA ASILI.


ARUSHA.

Mkurugenzi wa usimamizi na utekelezaji wa sheria ya usimamizi wa mazingira NEMC Bi. Rose Rugisa ameagiza taasisi ya utafiti wa wanyamapori hapa nchini TAWIRI pamoja na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro kusimamia taaluma yao ya kuhifadhi mazingira ili kulinda uoto wa asili.





        &






Bi Rugisa ameyasema hayo jijini Arusha wakati akifungua mafunzo ya mazingira yaliyoandaliwa na baraza la usimamizi wa mazingira NEMC,ambapo amesema kuwa mamlaka za hifadhi zinapaswa kutekeleza majukumu yake kulingana na sheria za NEMC ili kuondoa mgongano wa utekelezaji.

Amesema kuwa serikali imeongeza idadi ya ukaguzi wa mazingira nchini kwa kutoa mafunzo ili kukabiliana na tatizo la uharibifu wa mazingira hapa nchini.

RUGISA AMEAGIZA TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI HAPA NCHINI TAWIRA PAMOJA NA MAMLAKA YA NGORONGORO KUSIMAIA TAALUMA YAO YA KUHIFADHI MAZINGIRA ILI KULINDA UOTO WA ASILI. RUGISA AMEAGIZA TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI HAPA NCHINI TAWIRA PAMOJA NA MAMLAKA YA NGORONGORO KUSIMAIA TAALUMA YAO YA KUHIFADHI MAZINGIRA ILI KULINDA UOTO WA ASILI. Reviewed by safina radio on February 22, 2018 Rating: 5

No comments