MAJALIWA AAGIZA KUKAMATWA KWA DAKTARI WA KITUO CHA AFYA CHA MAHUTA MKOANI MTWARA KUTOKANA NA MALALAMIKO YA WANANCHI KUHUSU WIZI WA DAWA. MAJALIWA AAGIZA KUKAMATWA KWA DAKTARI WA KITUO CHA AFYA CHA MAHUTA MKOANI MTWARA KUTOKANA NA MALALAMIKO YA WANANCHI KUHUSU WIZI WA DAWA. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
JAMII IKISIMAMA VYEMA KATIKA MAOMBI YA UKOMBOZI KWA NJIA YA TOBA NA REHEMA KATIKA ENEO LA NDOA NA MAHUSIANO MUNGU ATACHUKUA NAFASI NA VILIO VYA NDOA, UCHUMI NA AFYA VITAKOMA. JAMII IKISIMAMA VYEMA KATIKA MAOMBI YA UKOMBOZI KWA NJIA YA TOBA NA REHEMA KATIKA ENEO LA NDOA NA MAHUSIANO MUNGU ATACHUKUA NAFASI NA VILIO VYA NDOA, UCHUMI NA AFYA VITAKOMA. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
MPANGO ASEMA TANZANIA INA TAKRIBANI WA WAPATAO MILIONI 54.2 MPANGO ASEMA TANZANIA INA TAKRIBANI WA WAPATAO MILIONI 54.2 Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
KAMKET APENDEKEZA MSWADA BUNGENI UNALENGA KUBADILISHA MFUMO WA KATIBA. KAMKET APENDEKEZA MSWADA BUNGENI UNALENGA KUBADILISHA MFUMO  WA KATIBA. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
CONGO YASEMA KUWA ITAWACHUKULIWA HATUA MAAFISA USALAMA WANAOWAUA WAANDAMANAJI KWA RISASI. CONGO YASEMA KUWA ITAWACHUKULIWA HATUA MAAFISA USALAMA WANAOWAUA WAANDAMANAJI KWA RISASI. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
GHANI ALITAKA KUNDI LA TALIBAN KUSHIRIKI KATIKA MAZUNGUMZO YA AMANI. GHANI ALITAKA KUNDI LA TALIBAN KUSHIRIKI KATIKA MAZUNGUMZO YA AMANI. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
MAGAIDI 23 WA AL-SHABAB WAUAWA NA JESHI LA KENYA KWA KUSHIRIKIANA NA SOMALIA LIMEUA MAGAIDI 23 WA AL-SHABAB WAUAWA NA JESHI LA KENYA KWA KUSHIRIKIANA NA SOMALIA LIMEUA Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza Bi Mary Tesha amewataka wazazi na walimu kutoa ushirikiano kwa malezi ya watoto wao ili kuwakinga na mimba za utotoni. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza Bi Mary Tesha amewataka wazazi na walimu kutoa ushirikiano kwa malezi ya watoto wao ili kuwakinga na mimba za utotoni. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua wazazi watakaobainika kuwaficha ndani watoto wenye ulemavu badala ya kuwapeleka shuleni kusoma. Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua wazazi watakaobainika kuwaficha ndani watoto wenye ulemavu badala ya kuwapeleka shuleni kusoma. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi ametoa muda wa wiki moja kwa Halmashauri za wilaya mkoani humo kuhakikisha kuwa zinapata na kusambaza mabomba na sumu za kuulia wadudu wanaoshambulia zao la pamba.   Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi ametoa muda wa wiki moja kwa Halmashauri za wilaya mkoani humo kuhakikisha kuwa zinapata na kusambaza mabomba na sumu za kuulia wadudu wanaoshambulia zao la pamba. Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
WATU 15 WAMEUAWA NCHINI CONGO DRC WATU 15 WAMEUAWA NCHINI CONGO DRC Reviewed by safina radio on February 28, 2018 Rating: 5
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haitamvumilia mtu yeyote yule atakayekatisha ndoto za mtoto wa kike kwa kumpa ujauzito. Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haitamvumilia mtu yeyote yule atakayekatisha ndoto za mtoto wa kike kwa kumpa ujauzito. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Waziri wa maji na umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wataalamu wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Lindi LUWASA kukaa Kwenye kituo cha kusukuma maji kilichopo kwenye mradi wa maji wa Ng`apa ili kukabiliana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha wananchi wa mji wa Lindi kukosa maji.  Waziri wa maji na umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe amewataka wataalamu wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Lindi LUWASA kukaa Kwenye kituo cha kusukuma maji kilichopo kwenye mradi wa maji wa Ng`apa ili kukabiliana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na kusababisha wananchi wa mji wa Lindi kukosa maji. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Serikali imetoa wiki mbili kwa mwekezaji wa shamba la mifugo la Kafoi Estate Wilayani Siha West Kilimanjaro kukamilisha mpango kazi wa uendelezaji wa shamba hilo kwa kuwa hajafikia matakwa ya mkataba huo kutokana na ongezeko la ng’ombe. Serikali imetoa wiki mbili kwa mwekezaji wa shamba la mifugo la Kafoi Estate Wilayani Siha West Kilimanjaro kukamilisha mpango kazi wa uendelezaji wa shamba hilo kwa kuwa hajafikia matakwa ya mkataba huo kutokana na ongezeko la ng’ombe. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea. Takribani Watu 14 wameuawa katika maporomoko ya ardhi na kuanguka kwa majengo baada ya tetemeko kubwa kutokea katika maeneo ya ndani ya milima ya Papua New Guinea. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Waendesha mashtaka wa Korea Kusini wanataka rais wa zamani wa nchi hiyo Park Geun Hye ahukumiwe katika kesi ya ufisadi ambayo ilisababisha yeye kuondolewa madarakani. Waendesha mashtaka wa Korea Kusini wanataka rais wa zamani wa nchi hiyo Park Geun Hye ahukumiwe katika kesi ya ufisadi ambayo ilisababisha yeye kuondolewa madarakani. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Mpango wa usitishaji mapigano wa kila siku unaoruhusu usambazaji wa misaada ya kiutu, uliotangazwa na Urusi umeanza kufanya kazi siku ya Jumanne katika eneo linaloshikiliwa na waasi la Ghouta Mashariki karibu na mji mkuu wa Damascus Syria, kufuatia wimbi la mashambulizi ya angani na mabomu yaliyoendelea usiku kucha. Mpango wa usitishaji mapigano wa kila siku unaoruhusu usambazaji wa misaada ya kiutu, uliotangazwa na Urusi umeanza kufanya kazi siku ya Jumanne katika eneo linaloshikiliwa na waasi la Ghouta Mashariki karibu na mji mkuu wa Damascus Syria, kufuatia wimbi la mashambulizi ya angani na mabomu yaliyoendelea usiku kucha. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
RAIS RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI. RAIS RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
UNHCR IMESEMA MIONGONI MWA WATU 11 WALIOUAWA NCHINI RWANDA WATANO NI WAKIMBIZI KUTOKA CONGO. UNHCR IMESEMA MIONGONI MWA WATU 11 WALIOUAWA NCHINI RWANDA WATANO NI WAKIMBIZI KUTOKA CONGO. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
JAJI MKUU PROFESA. IBRAHIM JUMA AWAAGIZA MAHAKIMU WOTE KUTOA NAKALA ZA HUKUMU. JAJI MKUU PROFESA. IBRAHIM JUMA AWAAGIZA MAHAKIMU WOTE KUTOA NAKALA ZA HUKUMU. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
MAHAKAMA NCHINI KENYA YAAGIZA WAKILI MIGUNA KUREJESHWA NCHINI HUMO. MAHAKAMA NCHINI KENYA YAAGIZA WAKILI MIGUNA KUREJESHWA NCHINI HUMO. Reviewed by safina radio on February 27, 2018 Rating: 5
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa ameiagiza taasisi ya kuzua na kupambana na rushwa takukuru hapa nchini kumuhoji aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji wa Masasi Bw Fortunatus Kagoro, pamoja na viongozi wengine kufuatia matumizi mabaya ya fedha ya jengo la utawala wilayani humo. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa ameiagiza taasisi ya kuzua na kupambana na rushwa takukuru hapa nchini kumuhoji aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji wa Masasi Bw Fortunatus Kagoro, pamoja na viongozi wengine kufuatia matumizi mabaya ya fedha ya jengo la utawala wilayani humo. Reviewed by safina radio on February 26, 2018 Rating: 5
Naibu Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko amesema kuwa serikali inaendelea kuwawazesha wachimbaji wadogo wa madini vifaa kupitia ruzuku ya wachimbaji badala ya kutoa fedha taslim ambazo zimekuwa zikiombwa na wachibaji wasiokuwa na sifa. Naibu Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko amesema kuwa serikali inaendelea kuwawazesha wachimbaji wadogo wa madini vifaa kupitia ruzuku ya wachimbaji badala ya kutoa fedha taslim ambazo zimekuwa zikiombwa na wachibaji wasiokuwa na sifa. Reviewed by safina radio on February 26, 2018 Rating: 5
Imebainishwa kuwa endapo jamii itamrejea Mungu kwa kufanya maombi ya toba Mungu anapata fursa ya kukaa ndani yao na kuachilia kibali cha kufanya kazi bila kuwepo na kizuizi chochote wala kusumbuliwa na magonjwa. Imebainishwa kuwa endapo jamii itamrejea Mungu kwa kufanya maombi ya toba Mungu anapata fursa ya kukaa ndani yao na kuachilia kibali cha kufanya kazi bila kuwepo na kizuizi chochote wala kusumbuliwa na magonjwa. Reviewed by safina radio on February 26, 2018 Rating: 5
Pages 311234 Next