MAGAIDI 7 WA AL-SHABABU WAUAWA, KISMAYU.
MOGADISHU.
Jeshi la Somalia
limewaua wapiganaji 7 wa kundi la Al-Shabaab mjini Kismayu, Kusini mwa nchi
hiyo.
Jeshi la Somalia. |
Kamanda wa jeshi la
serikali mjini Kismayu, Bw. Mukhtar Abdi amesema, operesheni hiyo ya kijeshi
imefanywa baada ya jeshi hilo kupata habari kuwa kundi la Al-Shabaab linapanga
kufanya mashambulizi katika eneo la Wirkoy.
Bw. Abdi pia
amesema, askari mmoja wa jeshi hilo amejeruhiwa katika operesheni hiyo, na
mapambano dhidi ya kundi la Al-Shabaab kusini mwa nchi hiyo yataendelea.
MAGAIDI 7 WA AL-SHABABU WAUAWA, KISMAYU.
Reviewed by safina radio
on
March 15, 2018
Rating:
No comments