RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI NHC
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dokta John Magufuli leo ametengua uteuzi wa
mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la nyumba la taifa (NHC) Bi.Blandina
Nyoni.
RAIS MAGUFULI. |
Aidha Mh. Rais Magufuli ameivunja bodi ya NHC kuanzia leo ambapo uteuzi wa mwenyekiti mpya na bodi nyingine unatarajiwa kufanyika baadae.
BI. BLANDINA NYONI. |
RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI NHC
Reviewed by safina radio
on
March 21, 2018
Rating:
No comments