MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LUTENI JENERALI YAKUB MOHAMED AMEWATAKA MAAFISA NA ASKARI WA JWTZ KUMPA USHIRIKIANO.


Mnadhimu mkuu wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Yakub Mohamed amewataka maafisa na askari wa JWTZ kumpa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake.


Image result for PICHA YA LUTEN GENERALLI YAKUB MOHAMED MNADHIMU MKUU WA JESHI

Luten Jenerali Mohamed ametoa kauli hiyo katika ziara yake ya kwanza ya kutembelea jeshi la Kigoma kwa lengo la kujitambulisha na kubaini changamoto mbalimbali zinazowakabili katika masuala ya ulinzi na usalama.


Hata hivyo Jenerali huyo amefanya ziara hiyo ya kwanza mkoani Kigoma baada ya kuteuliwa hivi karibuni na rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh John Magufuli kuwa mnadhimu mkuu wa jeshi la wananchi Tanzania.

MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LUTENI JENERALI YAKUB MOHAMED AMEWATAKA MAAFISA NA ASKARI WA JWTZ KUMPA USHIRIKIANO. MNADHIMU MKUU WA JESHI LA ULINZI LUTENI JENERALI YAKUB MOHAMED AMEWATAKA MAAFISA NA ASKARI WA JWTZ KUMPA USHIRIKIANO. Reviewed by safina radio on March 15, 2018 Rating: 5

No comments