OPEC IMEENDELEA KUPUNGUZA UZALISHAJI WA MAFUTA NDANI YA MIEZI MITANO ILIYOPITA.


VIENNA

Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta OPEC imeendelea kupunguza uzalishaji wa mafuta katika miezi mitano iliyopita.

Image result for OPEC
Jumuiya ya nchi za OPEC.
Ripoti iliyotolewa jana na OPEC inasema nchi za OPEC zilizalisha mapipa milioni 32.19 ya mafuta kwa siku katika mwezi wa Februari, kiasi ambacho kilipungua kwa mapipa elfu 77 kuliko mwezi Januari.

Ripoti hiyo pia imesema mahitaji ya mafuta duniani yanaongezeka kutokana na kufufuka kwa uchumi wa dunia

OPEC IMEENDELEA KUPUNGUZA UZALISHAJI WA MAFUTA NDANI YA MIEZI MITANO ILIYOPITA. OPEC IMEENDELEA KUPUNGUZA UZALISHAJI WA MAFUTA NDANI YA MIEZI MITANO ILIYOPITA. Reviewed by safina radio on March 15, 2018 Rating: 5

No comments