MOURINHO KUZOZANA NA MABOSI WAKE
![]() |
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho |
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anatarajiwa kuzozana na maafisa wakuu wa klabu hiyo kuhusu bajeti yake ya uhamisho huku joto la wasiwasi likipanda katika klabu hiyo, Paris St-Germain huenda ikamshawishi kuhamia Ufaransa.
Mourinho ameamua kuhusu kuwanunua wachezaji wanne huku wachezaji saba katika kikosi chake cha sasa wakitarajiwa kuuzwa.
MOURINHO KUZOZANA NA MABOSI WAKE
Reviewed by safina radio
on
March 15, 2018
Rating:
No comments