TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA MAREKANI KATIKA NYANJA MBALIMBALI


Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Josephat Kandege amesema kuwa serikali ya Tanzania itaendelea kushirikia na serikali ya Marekani katika Nyanja mbali mbali za maendeleo zikiwemo elimu afya na kilimo.

Image result for PICHA YA JOSEPHAT KANDEGE
NAIBU WAZIRI TAMISEMI JOSEPHAT KANDEGE
Naibu Waziri Kandege ameyasema hayo mjini Morogoro wakati wa kufunga mafunzo ya wiki mbili kwa vijana wa Marekani 52 waliopo nchini kwa lengo la kujitolea utaalamu katika huduma mbali mbali za kijamii.

Kwa upande wake Meneja wa Mafunzo kutoka Shirika la Huduma za kujitolea za Wamarekani USPSCOP Elance Ndilu amesema kuwa katika mafunzo hayo vijana hao wamejifunza lugha ya Kiswahili pamoja na utamaduni na watakaa nchini kwa muda wa miaka miwili.

TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA MAREKANI KATIKA NYANJA MBALIMBALI TANZANIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA MAREKANI KATIKA NYANJA MBALIMBALI Reviewed by safina radio on April 19, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.