watu 5 wamefariki dunia kutokana na shambulizi la bomu.


Shambulizi la bomu katika uwanja wa soka Kusini mwa Somalia, limesababisha vifo vya watu watano na wengine 12 kujeruhiwa.,ambapo hii ni mara ya kwanza kwa shambulizi la kigaidi kulenga uwanja wa michezo nchini humo.
Image result for picha ya rais wa somalia abdullahi mohamed
RAIS WA SOMALIA ABDULLAH MOHAMED.
Maafisa wanasema shambulizi hilo lilitokea katika mji wa Barawe jimboni Shabelle, wakati watu wakitazama mpira wa soka.
Polisi wanalishuku kundi la kigaidi la Al Shabab kuhusika katika shambulizi hilo ambalo limesababisha vifo hivyo pamoja na majeruhi.
Rais wa Somalia Bw Abdullahi Mohamed amesema adui pekee wa nchi hiyo ni Al Shabab.

watu 5 wamefariki dunia kutokana na shambulizi la bomu. watu 5 wamefariki dunia kutokana na shambulizi la bomu. Reviewed by safina radio on April 13, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.