WATU 18 WAMEFARIKI NCHINI RWANDA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA.


Mvua kubwa imeendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki na Kati,ambapo Nchini Rwanda watu kumi na wanane wamepoteza maisha wiki hii, baada ya kusombwa na maji.
Image result for PICHA YA madhara ya mvua zinazoendelea nchini rwanda

Mbali na maaafa hayo, makaazi ya watu yameharibika hasa wale wanaoishi katika maeneo ya milima.
Nchini Kenya, hali imekuwa vivyo hivyo baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha kusababisha madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na baadhi ya mitaa ya jiji kuu Nairobi kama Buruburu kujaa maji.
Nchini Burundi, hasa katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, maeneo ya Maramvya, Carama na maeneo ya mabondeni ndio yameathrika zaidi na mvua hizo zinazoendelea kunyesha.




WATU 18 WAMEFARIKI NCHINI RWANDA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA. WATU 18 WAMEFARIKI NCHINI RWANDA KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA. Reviewed by safina radio on April 25, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.