UNRWA LITASITISHA HUDUMA ZAKE KWA WAKIMBIZI WA PALESTINA.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa
Palestina UNRWA limeonya kuwa linaweza kusitisha huduma zake za kimsingi,
ikiwemo elimu, ifikapo mwanzoni mwa mwezi Septemba kutokana na kukosa fedha.
Msemaji wa UNRWA Sami Mashashaa amesema shirika hilo
halitakuwa na uwezo wa kutoa huduma kwa wakimbizi wa Palestina ifikapo mwezi
Septemba, kama msukosuko wa kifedha unaolikabili hautatatuliwa.
UNRWA LITASITISHA HUDUMA ZAKE KWA WAKIMBIZI WA PALESTINA.
Reviewed by safina radio
on
April 26, 2018
Rating:
No comments