ZAIDI YA WASICHANA ELFU THELATHINI WENYE UMRI WA MIAKA 14 KUPATIWA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOANI SIMIYU

Jumla ya wasichana elfu thelethini na saba mkoani  Simiyu wenye umri wa miaka kumi na nne wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi.
Image result for PICHA YA WASICHANA WENYE UMRI WA MIAKA 14
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Festus Shaga wakati akifungua mafunzo ya utoaji chanjo hiyo ambapo amesema kuwa wadau wa afya wakiwemo vingozi wa vyama vya siasa na dini watatoa ushirikiano ili kufanikisha zoezi hilo.
Kwa upande wake Mganga mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Mageda Kihulya amesema kuwa chanjo hiyo itasaidia kupunguza vifo vya wanawake ambapo hupelekwa kwenye matibabu wakiwa na hali mbaya.
Hata hivyo, Mkoa wa Simiyu unatarajia kutoa chanjo hiyo kuanzia tarehe 25 mwezi huu
ZAIDI YA WASICHANA ELFU THELATHINI WENYE UMRI WA MIAKA 14 KUPATIWA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOANI SIMIYU ZAIDI YA WASICHANA ELFU THELATHINI WENYE UMRI WA MIAKA 14 KUPATIWA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOANI SIMIYU Reviewed by safina radio on April 17, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.