TRUMP AMTUSI TENA JAMES COMEY
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumapili
alimtusi kwa mara nyingine Mkurugenzi wa zamani wa shirika la ujasusi la nchi
hiyo, FBI, James Comey, ambaye katika mahojiano yaliyorushwa jioni kwenye
runinga ya ABC, alisema rais wa Marekani hafai kuongoza Marekani.
RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP. |
Mkurugenzi wa zamani wa FBI, ambaye Trump
alimfukuza mnamo mwezi Mei 2017, amerejelea habari za kisiasa za Marekani tangu
kuchapishwa juma lililopita, maelezo mafupi ya kitabu chake kitakachotolewa
siku ya Jumapili wiki hii.
MKURUGENZI WA ZAMANI WA FBI JAMES COMEY. |
Katika mahojiano ya muda mrefu na ABC yaliyorushwa Jumapili usiku, Mkurugenzi wa zamani wa FBI anasema kwamba Trump hawezi kutekeleza majukumu yake ya urais amefanya "uharibifu mkubwa" kwa viwango vya taasisi za Marekani
TRUMP AMTUSI TENA JAMES COMEY
Reviewed by safina radio
on
April 16, 2018
Rating:
No comments