BURUNDI YASHUTUMU RWANDA NA UNHCR KWA UTEKAJI NYARA WA WAKIMBIZI WAKE.
Serikali ya Burundi imeishutumu Rwanda na wafanyakazi wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kwa kuwateka nyara wakimbizi wa Burundi |
Taarifa
hiyo imetolewa baada ya kurejeshwa kwa takriban wakimbizi 2,500 kutoka kambi
tatu za mpito nchini Rwanda wikiendi iliyopita.
Hata
hivyo, mwishoni mwa mwezi Machi, wizara ya mambo ya maafa na wakimbizi ya
Rwanda imesema wakimbizi zaidi ya 2,500 wa Burundi walioingia Rwanda kutoka
kambi moja ya DRC, watarejeshwa Burundi kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu.
BURUNDI YASHUTUMU RWANDA NA UNHCR KWA UTEKAJI NYARA WA WAKIMBIZI WAKE.
Reviewed by safina radio
on
April 05, 2018
Rating:
No comments