JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LINAWASHIKILIA WATU 6 KWA TUHUMA ZA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA SHERIA.
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu sita
kwa tuhuma za kuingia nchni kinyume na sheria wakitokea nchini Kenya kuelekea Zambia
kupitia Dodoma.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA GILLES MOROTO |
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma Kamanda
wa Polisi Mkoani Dodoma Gilles Moroto amebainisha kuwa watu hao wamekamatwa katika
basi moja linalofaya safari zake wilayani Mpwapwa kuelekea
Dodoma Mjini baada
ya kutiliwa shaka na wafanyakazi wa basi hilo.
Katika hatua nyingine Kamanda Moroto amebainisha tabia
nyingine ya uwizi wa majumbani ambapo baadhi ya watu hujifanya mafundi wa vifaa
vya Kieletroniki ikiwemo Komputa na baadae kuiba katika nyumba walizofanyia matengenezo
ya vifaa hivyo.
JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LINAWASHIKILIA WATU 6 KWA TUHUMA ZA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA SHERIA.
Reviewed by safina radio
on
April 10, 2018
Rating:
No comments