KAKOBE AENDA UHAMIAJI.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship
Zakaria Kakobe amesema kuwa leo asubuhi amefika katika ofisi za Uhamiaji jijini
Dar es salaam kuitikia wito wa idara hiyo uliomtaka afike kwaajili ya
mahojiano.
ASKOFU ZAKARIA KAKOBE |
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kufanyiwa mahojiano hayo ambayo yalichukuaq muda usiopungua saa tatu amesema
kuwa mbali na mahojiano hayo wamemtaka kuacha baadhi ya nyaraka zake .
Aidha duru za habari zinaeleza kuwa Kamishna wa
Uhamiaji wa Dar es salaam DCI Chrispin Ngonyani wanamhoji askofu Kakobe kama
raia mwingine wa Tanzania ambaye anaweza kuhojikwa kulingana na matakwa ya
sheria inavyoelekeza.
KAKOBE AENDA UHAMIAJI.
Reviewed by safina radio
on
April 09, 2018
Rating:
No comments