NDEGE1 ILIYOZUILIWA NCHINI CANADA KUTUA LEO NCHINI.


Hatimaye Ndege iliyonunuliwa na serikali aina ya Bombadia Q 400 ambayo ilikuwa imezuliwa nchini Canada inatarajiwa kuwasili hii leo nchini.

Image result for PICHA YA NDEGE AINA YA BOMBADIA


Ndege hiyo ni miongoni mwa ndege zilizoagizwa kutoka katika kampuni ya Canada ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuongeza watalii kupitia sekta ya anga.

Taarifa ya kuwasili ndege hiyo ya taifa ilitolewa rasmi siku ya Ijumaa iliyopita na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Graison Msigwa.

Hata hivyo kwa Kwa mujibu wa Msigwa Ndege nyingine tatu ikiwemo ndege mbili aina ya Bombadia C 300, kutoka Canada na nyingine Boin 787-8 Dre-Liner kutoka nchini Marekani zitawasili nchini baadae mwaka huu.

NDEGE1 ILIYOZUILIWA NCHINI CANADA KUTUA LEO NCHINI. NDEGE1 ILIYOZUILIWA NCHINI CANADA KUTUA LEO NCHINI. Reviewed by safina radio on April 02, 2018 Rating: 5

No comments