WATU 4 WAMEUAWA NCHINI NCHINI SYRIA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA
Watu kumi
na nne wameuawa katika shambulizi la kombora lililolenga kambi ya jeshi la anga
iliyoko mkoani Homs katikati ya Syria alfajiri ya leo.
Duru
za habari zinaeleza kuwa shambulizi hilo lililouwa watu hao kumi na nne
limewakumba na askari wa kikosi cha Iran wanaoshiriki na jeshi la serikali ya
Syria.
hilo limekuja wakati jumuiya ya kimataifa ikizozana kuhusu tuhuma za jeshi la
Syria kutumia silaha za kemikali katika shambulizi dhidi ya waasi katika wilaya
ya Douma, eneo la Ghouta Mashariki mjini Damascus.
Hata
hivyo, bado haijafahamika shambulizi hilo la leo alfajiri lilifanywa na nani,
lakini vyombo vya habari vya Syria vinasema huenda shambulizi hilo limefanywa
na Marekani.
WATU 4 WAMEUAWA NCHINI NCHINI SYRIA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA
Reviewed by safina radio
on
April 09, 2018
Rating:
No comments