WATU MIA MOJA WAMEUAWA NCHINI AFGHANISTAN.
Zaidi ya watu 100,
wameuawa na wengine kujeruhiwa jana Jumatatu katika shambulizi la bomu
lililotekelezwa na ndege ya jeshi la Afghanistan.
Shamulizi la bomu Afughanstan. |
Kulingana na ripoti kutoka hospitali na vyanzo vya usalama Shambulio
hilo lilitokea katika chuo cha dini (madrasa) kaskazini mashariki mwa Afghanistan
Shambulio hilo lilitokea Jumatatu mchana wakati wa sherehe ya
kuhitimu visomo mwaka katika chuo hicho cha dini (madrasa), katika wilaya
inayodhibitiwa kwa kiasi kikubwa na kundi la Taliban.
Msemaji wa Wizara ya Afya mjini Kabul, Wahid Majroh, amethibitisha
leo Jumanne asubuhi kuwa watu 57, ikiwa ni pamoja na watoto na wazee,
walisafirishwa hospitalini katika mkoa wa Kunduz na watano waliopoteza maisha.
WATU MIA MOJA WAMEUAWA NCHINI AFGHANISTAN.
Reviewed by safina radio
on
April 03, 2018
Rating:
No comments