KANE ASEMA ATASALIA TOTTENHAM



Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane
Image 
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane amehusishwa na uhamisho wa Real Madrid lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amesema kuwa atasalia kuichezea Tottenham kwa kuwa anasubiri kufunga mabao zaidi katika uwanja mpya wa timu hiyo. (Telegraph)
KANE ASEMA ATASALIA TOTTENHAM KANE ASEMA ATASALIA TOTTENHAM Reviewed by safina radio on March 13, 2018 Rating: 5

No comments

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.